Rasilimali za Msingi Sayansi

Rasilimali Za Msingi Sayansi-PDF Download

  • Date:31 Oct 2019
  • Views:69
  • Downloads:0
  • Pages:200
  • Size:613.81 KB

Share Pdf : Rasilimali Za Msingi Sayansi

Download and Preview : Rasilimali Za Msingi Sayansi


Report CopyRight/DMCA Form For : Rasilimali Za Msingi Sayansi


Transcription:

TESSA Teacher Education in Sub Saharan Africa inalenga. kuboresha utekelezaji darasani wa walimu wa msingi na walimu. wa sayansi wa sekondari barani Afrika kupitia matoleo ya. Rasilimali Huria za Elimu OERs ili kuunga mkono walimu. kuunda njia zinazowalenga wanafunzi na kuwashirikisha OER ya. TESSA huwapa walimu kitabu cha kurejea pamoja na vitabu vya. shule Zinatoa shughuli kwa walimu kujaribu madarasani pamoja na wanafunzi wao pamoja na. masomo ya utafiti inayoonyesha jinsi walimu wengine wamefunza mada hiyo na rasilimali. husishi za kuwaunga mkono walimu katika kukuza mipango ya masomo yao na ufahamu wa. somo , OER ya TESSA imeandikwa kwa ushirikiano wa waandishi wafrika pamoja na wa kimataifa ili. kushughulikia mtalaa na muktadha Zinapatikana kwa matumizi ya mtandaoni na chapa. http www tessafrica net OER Msingi zinapatikana katika matoleona lugha kadhaa. Kiingereza Kifaransa Kiarabu na Kiswahili Mara ya kwanza OER ilitolewa kwa Kiingereza. na kupatikana Afrika nzima OER hizi zimebadilishwa na washirika wa TESSA ili kufaa Ghana . Nijeria Zambia Rwanda Uganda Kenya Tanzania na Afrika Kusini na kutafsiriwa na. washirika nchini Sudani Kiarabu togo Kifaransa na Tanzania Kiswahili OER ya Sayansi ya. Sekondari zinapatikana kwa Kiingereza na zimebadilishwa ili kufaa Zambia Kenya Uganda na. Tanzania Tunakaribisha maoni kutoka kwa wale wanaosoma na kutumia rasilimali hizi Leseni. ya uundaji wa ubunifu huwawezesha watumiaji kuchukua na kujanibisha OER zaidi ili kutimiza. mahitaji na muktadha wa kindani , TESSA inaongozwa na Open University Uingereza na inafadhiliwa kwa sasa na ruzuku za. ufadhili kutoka kwa Wakfu wa Allan and Nesta Ferguson Wakfu wa William and Flora Hewlett. na Open University Alumni Orodha kamili ya wafadhili inapatikana kwenye tovuti ya TESSA. http www tessafrica net , Pamoja na rasilimali kuu za mafundisho za kuunga mkono mafunzo katika masomo maalum ni. chaguo za rasilimali za ziada ikiwa ni pamoja na sauti rasilimali kuu ambazo zinafafanua. utendakazi vitabu na zana maalum ,TESSA Programme,The Open University. Walton Hall,Milton Keynes MK7 6AA,United Kingdom,tessa open ac uk.
Copyright 2017 The Open University, Except for third party materials and otherwise stated this content is made available under a Creative Commons. Attribution Share Alike 4 0 licence http creativecommons org licenses by sa 4 0 Every effort has been made to. contact copyright holders We will be pleased to include any necessary acknowledgement at the first opportunity . TESSA SwPA SSA M2 S3 August 2017, This work is licensed under a Creative Commons Attribution Share Alike 4 0 License. Contents,Sehemu ya 3 Kuangalia vimiminika 4, Somo la 1 4. Somo la 2 6, Somo la 3 7, Nyenzo rejea ya 1 Kuishi jangwani 9. Nyenzo rejea ya 2 Kielelezo charamani ya mawazo shughuli ya kwanza . tengeneza ramani ya mawazo kuhusu kila kitu tunachokijua kuhusu maji 10. Nyenzo rejea 3 Maelekezo ya kutengeneza gurudumu la kusukuma maji 10. Nyenzo rejea ya 4 Kutengeneza kitabu kikubwa 11, Nyenzo rejea 5 Mvuto wa uso taarifa kwa walimu 13.
Creative Commons Attribution Share Alike www tessafrica net. TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3, Page 3 of 15. Sehemu ya 3 Kuangalia vimiminika, Swali Lengwa muhimu Ni jinsi gani utatumia njia mbalimbali kuchunguza vimiminika . Maneno muhimu Upimaji ramani ya mawazo maelezo mvuto wa uso uchunguzi . Matokeo ya ujifunzaji, Mwishoni mwa sehemu hii utakuwa umeweza . umetumia picha kubwa ramani ya mawazo katika kuona ni nini ambacho. tayari wanafunzi wanakijua wakati unaanza mada mpya . kufanya maonyesho ya vitendo darasani kutoa changamoto ya fikra kwa. wanafunzi , Kupanga aina mbalimbali za shughuli ikiwa ni pamoja na uchunguzi na maigizo. ili kujenga uelewa wa wanafunzi juu ya kazi dhima za maji . Utangulizi, Haijalishi ni umri gani unaoshughulika nao ni vizuri zaidi kuanza mada kwa kuwafikirisha.
wanafunzi ambapo utaweza kutambua vitu ambavyo tayari wanavijua Hii inaweza kuandikwa. katika umbo kama ramani ya mawazo angalia Nyenzo rejea muhimu kutumia ramani. mawazo na majadiliano kugundua mawazo Wahamasishe wanafunzi kuchangia maswali. yoyote na mawazo waliyo nayo Kujua mahitaji ya wanafunzi wako katika kujifunza. kutakusaidia zaidi kuandaa kwa njia sahihi Ni vitu gani lazima vipangwe Nyenzo rejea. Muhimu kupanga na kuandaa masomo yako , Katika sehemu hii tunakuongoza juu ya kutumia ramani ya mawazo na kuandaa shughuli. mbalimbali kuhusu vimiminika na tabia zake ,Somo la 1. Kwa sababu maji ni muhimu sana katika dunia tunasisitiza juu ya hili wakati wanafunzi. wanapojifunza kuhusu vimiminika Uchunguzi kifani 1 unaeleza ni jinsi gani mwalimu aliweka. kumbukumbu ya mawazo ya wanafunzi kuhusu maji katika ramani ya mawazo ambayo. aliendelea kuongezea mawazo katika mada yote Unaeweza kutumia ramani ya mawazo kama. chanzo cha mada hii Baada ya kutengeneza ramani ya mawazo au kutumia njia nyingine. kuchunguza ufahamu wa wanafunzi maonyesho ya vitendo ni muhimu Hii inakazia. mawazo maarifa na kuonyesha ni jinsi gani vitu vinafanya kazi au kutokea . Katika Shughuli 1 utafanya moja kati ya maonyesho ya vitendo amabayo yanaweza kutumika. kuonyesha tabia za maji , Kwa miaka mingi sana watu walitambua nguvu za mtiririko wa maji Kama maji yataelekezwa. kutiririka chini au juu ya gurudumu inafanya gurudumu lizunguke Hii inaweza kutumika. kuendesha mashine zingine ambazo zinafanya kazi kama kusaga chakula au kufua umeme . Kama huna maji ya kutosha kuhusiana na onyesho hili tunakushauri kujaribu maonyesho. mengine kama vile utaonyeshaje kuwa kuna mvuke wa maji katika hewa jangwani Nyenzo. rejea 1 kumudu maisha jangwani inaelezea tendo hili . Creative Commons Attribution Share Alike www tessafrica net. TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3, Page 4 of 15. Uchunguzi kifani ya 1 Kujenga taswira kubwa na kuibua maswali. Afua wa Winneba Ghana mara kwa mara anaanza somo jipya kwa njia murua kw a. kuwaweka wanafunzi wake wa darasa la 4 pembeni mwake Alikaa kwenye meza ndogo na. karatasi nyeupe kabisa Alijadili mada kuhusu maji pasipo urasmu . Aliwauliza wanafunzi wanajua nini kuhusu maji Aliwahamasisha wasikilizane kwa makini na. kuongezea kwenye maoni ya wengine Hakuliona wazo lolote kuwa ni kosa lakini. aliwaaambia wanafunzi wafikirie kwanza kabla ya kuongeza wazo lolote katika ramani ya. mawazo na kujadii ni wapi litafaa kuwekwa , Alihakikisha kuna mantiki kwenye ramani ya mawazo Dora alipotaja.
mafuriko wote walikubaliana kuwa maji yanaweza kuwa ni hatari na neno hili liliandikwa. kwenye mifano ya hatari Uchafuzi wa hewa na sumu zilizoyeyushwa vilipojadiliwa haya pia. yalihusishwa na hatari , Baadaye waliandika kwenye madaftari yao ya sayansi aliyotengeneza Afua Wakati. wakifanya hivi walifikiria juu ya mapungufu ya maarifa waliyo nayo Maswali ya yanaongezwa. kwenye ramani ya mawazo kwa kutumia rangi tofauti Angalia nyenzo rejea 2 Ramani raisi. ya mawazo , Shughuli ya 1 Maelekezo maonyesho kwa vitendo darasani . Gurudumu la maji, Maelekezo haya yanaonyesha wanafunzi kwa njia ya maigizo nguvu ya maji. yanayotiririka lakini kwa njia rahisi zaidi Nyenzo rejea 3 maelezo ya kutengeneza. gurudumu la kupandisha maji kutoka kwenye kisima inakuonesha ni jinsi gani udongo wa. mfinyanzi plastiki iliyochomwa inayozunguka mpira inaweza kushika kadibodi kuwakilisha. gurudumu rahisi la kupandisha maji Kama tyubu ina uhuru wa kuzunguka kijiti kifimbo na. kamba iliyoloanishwa imefungwa katika hiyo, tyubu hivyo maji yanayotiririka kuzunguka ukingo wa gurudumu yatasukuma hiyo kamba. kuzunguka hiyo tyubu ya kusokotea na kunyanyua uzito . Tunapendekeza ujaribishe hili kwanza kabla hujawaonyesha wanafunzi wako Panga maswali. utakayowauliza wanafunzi ,Ulishawahi kuona hili wapi .
Je gurudumu la kusukuma maji lina kazi gani ,je nyenzo hii inakuwa muhimu wapi . Unaweza kuendeleza mazoezi hayo kwa kuona kwamba kubadilisha ncha au pembe ya kisu. inafanya gurudumu liende mbio , Zoezi hili linaoanisha sayansi na teknolojia Utakapoacha kutiririsha maji kuna tatizo ile. kamba itajifungua Katika teknolojia wanafunzi wanafurahia kuumba kitu kuzuia kujifungua. kwa kamba au kutumia kifaa hicho kufanya kazi , Creative Commons Attribution Share Alike www tessafrica net. TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3, Page 5 of 15. Somo la 2, Kuna utabiri kwamba wakati ujao vita vitapiganwa juu ya maji wazo la kushangaza Maji ni.
moja ya rasilimali muhimu sana Je tutahakikisha vipi kwamba wanafunzi wetu wanayathamini. maji na kuenzi matumizi ya maji hayo kwa uangalifu . kiasi cha maji kinachopatikana katika ardhi ni kiasi cha lita millioni million. 1 400 Maji mengi yanapatikana katika maeneo matatu . bahari na maziwa 97 ,barafu iliyoganda kama theruji 2 . maji yaliyoko chini ya ardhi 1 , Pia kuna maji katika maziwa na mito katika anga na katika viumbe hai . Uchunguzi kifani 2 unaonyesha namna ya kuhusisha sayansi na lugha katika mazoezi ya. maigizo kuhusu usambazaji wa maji Ni muhimu kutumia mazoezi ya aina mbalimbali katika. sayansi sababu kila mawanafunzi atakuwa na njia yake ya kujifunza Wengine wanajifunza vizuri. zaidi kwa matendo na wengine kwa kuona na baadhi ya wanafunzi watafurahia zaidi kusikiliza . Katika Shughuli 2 unapanga jinsi ya kufanya majaribio ya kutenganisha maji safi kutoka katika. maji ya chumvichumvi au maji machafu Kama ilivyo katika majaribio yoyote tunashauri zoezi. hili lifanyike nje ya darasa , Ufikiri kwa makini kuhusu maswali utakayowauliza wanafunzi katika kipindi cha mazoezi . Uchunguzi kifani ya 2 Asante kwa maji ya kunywa, Rehema Selemani anawahusisha wanafunzi wake katika kujifunza pale inapowezekana Kwa. suala la maji anaoanisha sayansi na lugha kwa kutengeneza kitabu kikubwa na darasa lake . Anaandaa kila kitu kabla ili somo lililounganishwa liweze kwenda vizuri . Alianza kwa kuwashirikisha wanafunzi wake na kutengeneza igizo dogo darasani Alimwita. Bakari aje mbele na akamwambia hapa kuna kikombe cha maji ya kunywa kwa ajili yako . Kijana aliitikia kwa unyenyekevu Asante mwalimu kwa maji Kwa kushangaza mwalimu. alijibu usinishukuru mimi kwa ajili ya maji ya kunywa kishukuru alionyesha kikombe . Kwa hiyo Bakari alikishukuru kikombe Usinishukuru mimi kilisema kikombe nimebeba tu. maji mshukuru Bomba Wanafunzi wachache darasani wakasema hiyo ni kweli alisema. Rehema na kumwambia, Yohana aje awe bomba, Creative Commons Attribution Share Alike www tessafrica net.
TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3, Page 6 of 15. Hivyo Bakari alikwenda kulishukuru bomba usinishukuru mimi lilisema bomba Yohana . nimetiririsha maji tu Mshukuru mdomo wa bomba la maji wanafunzi wengi wakasema . somo likaendelea kwa kujenga hadithi ya usambazaji wa maji vijijini katika makazi hadi. sehemu ya kuhifadhia maji nyumba ya mashine ya kusukuma maji na kuendelea soma. maelezo kwa undani zaidi juu ya somo hili ukizingatia ushauri katika Nyenzo rejea 4 . Utengenezaji wa kitabu kikubwa , Shughuli ya 2 Kupata maji safi. Inawezekana kutengeneza maji safi ya kunywa kutokana na maji machafu au maji yenye. chumvichumvi Waulize wanafunzi je tutafanyaje hili Sikiliza mawazo ya kila mmoja na. uyaandike ubaoni au ukutani , Waonyeshe wanafunzi wako namna unavyoweza kutengeneza maji machafu au ya. chumvichumvi kunyweka Chemsha kiasi cha maji kwenye chombo Weka glasi Juu ya. chombo katika pembe fulani inayoelekea katika chombo kingine cha kuhifadhia . Maji yatakapochemka yatageuka kuwa mvuke Mvuke utageuka kuwa kimiminika katika glasi. na kuvujia kwenye chombo kingine Elezea hatua hii kwa wanafunzi wako Utahitaji kufanya. hili mara kwa mara na kuandika istilai maneno muhimu ubaoni . Waambie wanafunzi kuangalia maji mapya na kuyaelezea Nini kimebaki katika chombo cha. kwanza Mchakato huu unaitwa unekaji , Sasa waambie wanafunzi wako wafanye kazi katika makundi kufanya ubunifu wa mipango. mikubwa ya baadaye kwa ajili ya jaribio hili Wanawezaje kupata maji safi ya kutosha kwa ajili. ya familia zao Waambie wawasilishe mawazo yao na kama darasa wajadili mapendekezo. tofauti angalia Nyenzo rejea 1 kwa ajili ya mawazo . Somo la 3, Kwa sehemu ya mwisho ya kazi hii tunajenga mawazo kutoka katika sehemu mbili za mwanzo.
kwa kuwaambia wanfunzi watatue matatizo katika shughuli muhimu soma hili sasa . Shughuli hii inatumia staidi za uchunguzi kubashiri kupanga kuweka kumbukumbu na. kuwasilisha matokeo Je aina hii ya zoezi linawafanya wanfunzi wako waendelee kuvutiwa . Unaweza kufikiria mada nyingine katika mtaala wa sayansi ambapo unaweza kuitumia njia hii . Badilishana mawazo na wenzako Pengine unaweza kuanzisha jarida la uchunguzi katika. shule yako , Mara nyingi katika sayansi yale yasiyotarajiwa hutokea Katika uchunguzi kifani 3 mwalimu. mmoja alitumia maelezo kutoa changamoto kwenye fikra za wanafunzi wake alionyesha kwamba. sindano ya metali inaelea Je hiyo inaelezewaje Aina ya zoezi hili linakupa nafasi ya kupima. uelewa wa wanafunzi na kuongezea kwenye ramani ya mawazo ya darasa ya toka mwanzo . Creative Commons Attribution Share Alike www tessafrica net. TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3, Page 7 of 15. Uchunguzi kifani ya 3 Sindano inaelea kuchunguza mvuto. wa sura, Barnabas Haule amekuwa anafurahishwa na taharuki tangu akiwa mtoto Katika ufundishaji. wake wa sayansi anafurahia kutafuta njia zisizotegemewa kuelezea kweli zilizomo katika. vitabu Haya maelezo mafupi ghafla aliwashangaza wanaf. TESSA SWAHILI Sayansi Moduli 2 Sehemu ya 3 Page 3 of 15 Contents Sehemu ya 3 Kuangalia vimiminika 4 Somo la 1 4 Somo la 2 6 Somo la 3 7 Nyenzo rejea ya 1 Kuishi jangwani 9 Nyenzo rejea ya 2 Kielelezo charamani ya mawazo shughuli ya kwanza tengeneza ramani ya mawazo kuhusu kila kitu tunachokijua kuhusu maji 10

Related Books